Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Taarifa ya Habari 22 Agosti 2024
22/08/2024 Duration: 06minWazazi wapya hivi karibuni wataweza anza pokea malipo yao ya uzeeni juu ya malipo ya likizo ya wazazi yanayo wekezwa na serikali, sheria ziki tarajiwa kuwasilishwa ndani ya bunge la shirikisho hii leo Alhamis 22 Agosti.
-
#66 Maswali yaku uliza unapo tazama nyumba unayo taka kodi
21/08/2024 Duration: 17minJifunze jinsi yaku uliza maswali, unapo tazama nyumba unayo tarajia ku kodi.
-
Aina mpya ya kirusi cha mpox chatambuliwa Pakistan, umakini wa himizwa na hatua ziongezwe
20/08/2024 Duration: 09minKesi mpya ya kirusi cha mpox imeripotiwa nchini Pakistan, baada ya kesi kama hiyo kuripotiwa nchini Sweden.
-
Taarifa ya Habari 20 Agosti 2024
20/08/2024 Duration: 19minKiongozi wa chama cha Greens Adam Bandt amesema utafiti mpya ulio agizwa na chama chake una onesha kuwa wa Australia wanao fanya kazi za kawaida hawa wezi mudu kununua nyumba zao wenyewe.
-
Nzovu "Miaka ishirini inapita na kabila la Wanyamurenge bado halijapata haki yao"
16/08/2024 Duration: 09minUsiku wa 13 Agosti 2004 takriban watu 166 wali uawa kikatili, na mamia kujeruhiwa ndani ya kambi ya wakimbizi ya Gatumba, Burundi.
-
Taarifa ya Habari 16 Agosti 2024
16/08/2024 Duration: 16minKiongozi wa upinzani Peter Dutton ame shtumiwa kwa ubaguzi na kuchochea mgawanyiko na baadhi ya wabunge ambao wame kosoa wito waku wazuia wa Palestina ambao wame kwama Gaza kuingia Australia.
-
Mtoto wako ananyanyaswa shuleni au mtandaoni? Hatua muhimu unastahili chukua
16/08/2024 Duration: 13minKutoa mazingira salama na jumuishi ni dhamira ya msingi ya kila jumuiya ya shule ya Australia.
-
Kisimba "tuta furahi sana kuona Icon wetu hapa Sydney"
14/08/2024 Duration: 10minMfalme wa muziki wa DR Congo Koffi Olomide ame anza ziara ya tamasha Australia.
-
Taarifa ya Habari 13 Agosti 2024
13/08/2024 Duration: 15minViongozi wa Marekani na Uingereza wanaweza jiondoa katika makubaliano ya manowari yaliyofanywa na Australia chini ya mpangilio wa AUKUS, kwa kutoa onyo la mwaka mmoja tu kulingana na hati mpya ya ushirikiano huo.
-
Sababu nzuri zaku tii sheria za watembeaji wa miguu
13/08/2024 Duration: 13minKila siku, watu wanao tembea kwa miguu kote nchini Australia huvunja sheria bila kujua. Hali hii inaweza sababisha adhabu, na wakati mwingine inaweza sababisha ajali.
-
Taarifa ya Habari 9 Agosti 2024
09/08/2024 Duration: 19minKiongozi wa upinzani Peter Dutton amesema chama chake kina endelea ku unga mkono makubaliano ya AUKUS, yaliyo tiwa saini chini ya serikali ya Morrison ila, ana hoji kwa nini serikali ya Albanese ina pinga nishati ya nyuklia.
-
Sekta ya vyuo yadai wanafunzi wakimataifa wanatumiwa kama "mpira" wakisiasa
09/08/2024 Duration: 09minVyuo na biashara vina fanya kampeni ya ushawishi dhidi ya sheria zenye utata, kuweka idadi ya wanafunzi wa kimataifa kuanzia mwaka ujao.
-
Taarifa ya Habari 8 Agosti 2024
08/08/2024 Duration: 05minWafanyakazi wa huduma ya malezi ya watoto kote nchini Australia, wana tarajiwa kuongezewa mishahara, iwapo sehemu zao za kazi zita kubali kuto ongeza ada kwa zaidi ya asilimia 4.4 katika mwaka ujao.
-
Amedee "tunatoa mafunzo na uelewa kwa yaliyo fanyika Rwanda 1994"
07/08/2024 Duration: 12minOnesho la hadithi za wahanga wa mauaji ya 1994 nchini Rwanda, lime zinduliwa katika jumba la sanaa mjini Sydney, Australia.
-
Kuelewa mfumo wa sheria wa Australia: sheria, mahakama na msaada wakisheria
06/08/2024 Duration: 13minMfumo wa sheria wa Australia ni mfumo changamano ulio undwa kudumisha utaratibu, kuhakikisha nakulinda haki za raia wake.
-
Taarifa ya Habari 6 Agosti 2024
06/08/2024 Duration: 18minAustralia imeongeza kiwango cha tisho la ugaidi kitaifa kutoka uwezekano hadi kuwezekana. Serikali imesema kuongezeka kwa itikadi kali katika wigo wa kisiasa na kiitikadi uko nyuma ya marekebisho hayo.
-
Kiwango cha tisho la ugaidi cha ongezwa kutoka "uwezekano" hadi "kuwezekana"
06/08/2024 Duration: 07minKiwango cha tisho la ugaidi cha Australia kime ongezwa kwa mara ya kwanza katika muongo.
-
Taarifa ya Habari 2 Agosti 2024
02/08/2024 Duration: 16minWaziri Mkuu amesema maoni ya watu wanao ishi na ulemavu yanasikizwa, kufuatia ukosoaji ulio ibuka kufuatia jibu la serikali kwa tume yakifalme kwa ulemavu.
-
Jeff "unaweza dhani ume mdhuru mtu mmoja tu, kumbe ume waathiri wengi zaidi"
02/08/2024 Duration: 05minHadithi halisi za wahanga wa mauaji ya 1994 nchini Rwanda, zime zinduliwa katika jumba la sanaa mjini.
-
H_art the Band kuhusu tamasha ya Australia
02/08/2024 Duration: 13minKundi la H_art the Band kutoka Kenya, lili kuwa mjini Sydney kwa tamasha yao ya miji 5 mikuu ya Australia.