Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Taarifa ya Habari 19 Januari 2024
19/01/2024 Duration: 20minWaziri Mkuu Anthony Albanese amesema serikali ina ahidi kutimiza awamu ya tatu ya makato ya kodi, ambako wafanyakazi watapata makato ya kodi kwa mishahara yao binafsi kuanzia Julai 1.
-
Maandamano ya upizani DRC yatishia kuapishwa kwa Rais Tshisekedi
19/01/2024 Duration: 07minWawili kati ya wagombea wakuu wa upinzani kwenye uchaguzi wa Disemba mwaka jana nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wameitisha maandamano Jumamosi wakati wa kuapishwa kwa Rais Felix Tshisekedi kuongoza muhala wa pili.
-
Wazazi wanaweza msaidiaje mtoto kupona kiwewe?
18/01/2024 Duration: 12minIwapo mtoto wako amepata kiwewe ng'ambo au nchini Australia, iwapo ilitokea hivi karibuni au katika siku za nyuma, pakiwa msaada unao faa, mtoto anaweza pona.
-
Taarifa ya Habari 16 Januari 2024
16/01/2024 Duration: 20minWakaaji wa Magharibi Australia wame hamasishwa wapitie upya mipango yao ya moto wa vichaka, nyumba mbili zikiwa zimepotezwa kwa mioto inayo kabili eneo la kaskazini mashariki ya mji wa Perth.
-
Mwongozo wako wakubaki salama nakupata baridi wakati wa majira ya joto ya Australia
16/01/2024 Duration: 11minMsimu wa majira ya joto, hu ahidi anga iliyo wazi na hali ya hewa ya joto. Kwa watu wengi, ni geuzi linalo karibishwa baada ya kuvumilia miezi ya baridi.
-
Taarifa ya Habari 12 Januari 2024
12/01/2024 Duration: 18minShirika la Human Rights Watch, limesema Australia imefeli kuchukua hatua thabiti kwa ajili yaku shughulikia swala la haki za binadam nchini China.
-
Wanafunzi wakimataifa walengwa wakuu wa mageuzi ya uhamiaji nchini Australia
12/01/2024 Duration: 10minSerikali ya shirikisho imewasilisha mageuzi kadhaa kwa viza za wanafunzi wakimataifa, kama sehemu ya mageuzi makubwa ya uhamiaji yaliyo tangazwa Jumatatu 11 Disemba 2023.
-
Kila kitu una stahili jua kuhusu Boxing Day nchini Australia
25/12/2023 Duration: 11minSiku ya Boxing Day nchini Australia, ni mchanganyiko wakipekee wa umuhimu wa utamaduni na biashara.
-
Krismasi huwaje nchini Australia
23/12/2023 Duration: 08minKama huwa hau sherehekei Krismasi, unaweza shangaa kuona mtu anaye vaa mavazi ya Santa akitereza juu ya maji katika mwezi wa Disemba.
-
Taarifa ya Habari 22 Disemba 2023
22/12/2023 Duration: 16minMsaada wa kifedha wa ziada una tumwa kwa watu walio athiriwa kwa marufiko, wakati juhudi kubwa ya usafi ina anza katika ukanda wa Kaskazini Queensland.
-
Kanda ya Kaskazini Queensland yaanza mchakato wakufanya usafi baada ya kukumbwa kwa mafuriko
22/12/2023 Duration: 07minKiwango cha uharibifu ambao ume achwa nyuma na Kimbunga Jasper, kimeanza onekana pole pole katika kanda ya Kaskazini ya Queensland, ambako wakulima wanasema wamepoteza mazao yenye thamani ya miezi kadhaa.
-
Germain "sita ishi Kinshasa niki shinda uchaguzi, nita ishi na walio nichagua"
19/12/2023 Duration: 16minWagombea wa nyadhifa mbali mbali katika uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wame maliza kampeni zao, sasa wanasubiri hukumu ya wananchi.
-
Taarifa ya Habari 19 Disemba 2023
19/12/2023 Duration: 18minMvua kubwa na kali ambayo imegonga eneo la Kaskazini Queensland ina anza kupungua ukali ila, ofisi ya utabiri wa hewa imesema onyo za mafuriko bado zina endelea kutumika.
-
Mamba anaswa ndani ya maji ya mafuriko Kaskazini Queensland
19/12/2023 Duration: 07minMamlaka wame pata mamba wa maji ya chumvi mwenye urefu wa 2.5m, ndani ya mji wa Ingham ambao uko Kaskazini Queensland baada ya mto wa eneo hilo kufurika.
-
Taarifa ya Habari 18 Disemba 2023
18/12/2023 Duration: 07minBaadhi ya wakaaji katika eneo la Kaskazini Queensland wamelazimika kupanda juu ya paa za nyumba zao, wakisubiri kuokolewa, wakati mvua nzito iliyo sababishwa na kimbunga chaki tropiki Jasper inasababisha mafuriko katika kanda hiyo.
-
Davi"tunataka badilisha muonekano kuwa lazima uwe mkonde,mwembamba na mrefu ili uwe mwanamitindo"
15/12/2023 Duration: 16minShirika la Maridadi Group, lime andaa tamasha maalum ambako wana mitindo wakike na wakiume watawania taji la Bi na Bw Kenya, Australia, 2023 mjini Melbourne, Victoria.
-
Mbinu tano zaku leta chakula chaki asili kwenye sahani yako ya sherehe
15/12/2023 Duration: 09minKuwasilisha chakula cha asili jikoni mwako kunaweza kuwa sawia moja kwa moja kama kubadilisha, viungo vyako vya kawaida kwa mbadala wa asili.
-
Taarifa ya Habari 15 Disemba 2023
15/12/2023 Duration: 22minBunge la Marekani lime idhinisha rasmi, mkataba muhimu wa AUKUS na Australia.
-
Mageuzi makubwa ya uhamiaji wa Australia yawalenga wanafunzi wakimataifa
12/12/2023 Duration: 10minSerikali ya shirikisho imewasilisha mageuzi kadhaa viza za wanafunzi wakimataifa, kama sehemu ya mageuzi makubwa ya uhamiaji yaliyo tangazwa Jumatatu 11 Disemba.
-
Taarifa ya Habari 12 Disemba 2023
12/12/2023 Duration: 17minSerikali ya Labor ina tetea mkakati wayo mpya wa uhamiaji, ikisema uta hakikisha raia wa Australia wanapewa kipaumbele kupata kazi.