Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Taarifa ya Habari 5 Septemba 2025
05/09/2025 Duration: 15minWaziri wa mambo ya tamaduni nyingi Anne Aly, amechangia ujumbe wa mshikamano na jumuiya yawa Hindi wa Australia, kufuatia maandamano dhidi ya wahamiaji.
-
SBS Learn Eng Ep 94 Zungumza kuhusu autism
05/09/2025 Duration: 19minJe, unajua jinsi ya kuzungumza kuhusu autism?
-
Serikali ya hamasishwa ikabiliane na ongezeko la itikadi kali za mrengo wa kulia
02/09/2025 Duration: 14minWanasiasa wame laani ubaguzi wa rangi na chuki dhidi ya wageni iliyo onyeshwa katika maandamano kadhaa dhidi ya uhamiaji wikiendi iliyo pita.
-
Taarifa ya Habari 2 Septemba 2025
02/09/2025 Duration: 14minMbunge wa upinzani Matt Canavan amesema sera za uhamiaji za seriakli, zina wasukumu watu kuwa na maoni yenye misimamo mikali. Amesema serikali ya Labor imefungua anacho ita milango ya mafuriko ya uhamiaji baada ya janga la UVIKO-19, na inawaruhusu watu kuingia nchini kiholela chini ya ya sera zake za sasa.
-
Rwanda na DR Congo zakubali kuwarejesha wakimbizi makwao
02/09/2025 Duration: 06minShirika la UNHCR limesema viongozi wa Rwanda na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamekubali kuwarejesha wakimbizi walio toroka makwao mashariki mwa DRC.
-
Maelfu waandamana dhidi ya uhamiaji, huku wa Nazi waki chochea vurugu
02/09/2025 Duration: 19minWimbi la maandamano ya kitaifa dhidi ya uhamiaji yame shuhudiwa katika miji mikubwa ya Australia.
-
Taarifa ya Habari 29 Agosti 2025
29/08/2025 Duration: 15minWaziri Mkuu Anthony Albanese amesema Richard Marles alikuwa na mkutano wenye tija na mshiriki wake kutoka Marekani Pete Hegseth, huku kukiwa mkanganyiko kuhusu kama, kuna mkutano rasmi ulio fanyika kati yao.
-
Understand Aboriginal land rights in Australia - Elewa haki za ardhi zawa Aboriginal nchini Australia
29/08/2025 Duration: 08minYou may hear the protest chant, “what do we want? Land rights!” —but what does it really mean? Land is at the heart of Aboriginal and Torres Strait Islander identity, culture, and wellbeing. Known as “Country,” it includes land, waterways, skies, and all living things. In this episode of Australia Explained, we explore Indigenous land rights—what they involve, which land is covered, who can make claims, and the impact on First Nations communities. - Unaweza sikia wito huu katika maandamano, “tuna taka nini? Haki za ardhi!” ila wito huo una maana gani? Ardhi iko katika kiini cha utambulisho, utamaduni na ustawi wa wa Aboriginal na watu kutoka Visiwa vya Torres Strait. Inajulikana kama “nchi” na inajumuisha ardhi, njia za maji, anga na kila kitu kilicho hai. Katika makala haya ya Australia ya Fafanuliwa, tuta chunguza haki za ardhi zawa Australia wa asili, wanacho husisha, ardhi gani ina funikwa, nani anaweza fanya madai na madhara kwa jamii za Mataifa ya Kwanza.
-
Taarifa ya Habari 26 Agosti 2025
26/08/2025 Duration: 16minSerikali ya Albanese inatarajiwa kuleta mbele mpango wakupanua mfumo unao ruhusu wanao nunua nyumba ya kwanza, kuweka amana ya hadi asilimia tano. Wakati marudio ya awali ya mpango huo yalikuwa na kikomo cha kila mwaka kwa washiriki, mfuno huo kwa sasa utakuwa wazi wa kila mtu anaye nunua nyumba.
-
Elewa haki za Ardhi zawa Aboriginal nchini Australia
26/08/2025 Duration: 11minUnaweza sikia wito huu katika maandamano, “tuna taka nini? Haki za ardhi!” ila wito huo una maana gani?
-
Australia kutambua utaifa wa Palestina
14/08/2025 Duration: 09minAustralia ita tambua Palestina kama taifa katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wa Septemba.
-
Taarifa ya Habari 5 Agosti 2025
05/08/2025 Duration: 12minWaziri wa mambo ya nje Penny Wong ame muhamasisha Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, asikize wito wakisitisha vita mara moja Gaza.
-
Tamasha ya Garma yawavutia wageni kutoka Australia na kwingineko
05/08/2025 Duration: 12minSherehe ya Garma katika Kijiji cha Kaskazini Mashariki Arnhem Land, cha Wilaya ya Kaskazini, ime tamatika kwa mwaka mwingine.
-
SBS Learn Eng Ep 38 Jinsi ya kuzungumza kuhusu muziki
05/08/2025 Duration: 19minJe, unajua jinsi ya kuzungumza kuhusu nyumba yako?
-
Taarifa ya Habari 4 Agosti 2025
04/08/2025 Duration: 05minSerikali ya shirikisho imetangaza msaada kwa Gaza uta ongezwa kwa $20 milioni hii leo Jumatatu 4 Agosti, masaa machache baada yamakumi yama elfu kutembea katika Daraja maarufu la bandari ya Sydney, jana Agosti 3, katika maandamano dhidi ya vita vinavyo endelea Gaza.
-
Kenya, Uganda na Tanzania tayari kwa sherehe ya soka
04/08/2025 Duration: 05minWapenzi wa soka barani Afrika wana elekea Kenya, Uganda na Tanzania kuhudhuria michuano ya Afrika iliyo ahirishwa mwaka jana.
-
Mvutano wakibiashara waibuka kati ya Tanzania na Kenya
01/08/2025 Duration: 07minKenya imepinga sheria mpya za biashara na kodi za Tanzania ikizitaja kuwa za kibaguzi na zinazohatarisha ushirikiano wa kiuchumi Afrika Mashariki.
-
Taarifa ya Habari 1 Agosti 2025
01/08/2025 Duration: 15minWaziri Mkuu Anthony Albanese ana enda kuhudhuria tukio kubwa linalo waleta pamoja wa Australia wa Asili katika wilaya ya Kaskazini.
-
SBS Learn Eng Ep 89 Jinsi yakuzungumza kuhusu nyumba yako
01/08/2025 Duration: 15minJe, unajua jinsi ya kuzungumza kuhusu nyumba yako?
-
Jinsi yaku anza biashara yako ya nyumbani nchini Australia
01/08/2025 Duration: 14minBiashara ya nyumbani inaweza sikika kuwa yakuvutia kwa wengi. Ina punguza gharama, inatoa fursa mbali mbali, inafaa taaluma tofauti, na silazima kazi hiyo ifanyiwe ofisini.