Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Taarifa ya Habari 17 Disemba 2024
17/12/2024 Duration: 20minMawaziri wa kigeni na ulinzi wa Uingereza na Australia wamefanya mkutano wao wa kila mwaka ((AUKMIN)) mjini London ambako amekubali kuimarisha zaidi ushirikiano kwa ulinzi, biashara na sera yakigeni.
-
Mahakama yazima ndoto ya Edgar Lungu
13/12/2024 Duration: 07minMahakama ya katiba ya Zambia imesikiza ombi la Rais mstaafu wa Zambia, Edgar Chagwa Lungu lakupewa ruhusa yakuwania urais wa taifa hilo.
-
Taarifa ya Habari 13 Disemba 2024
13/12/2024 Duration: 22minSerikali ya Albanese imetangaza mfumo mpya waku lazimisha mitandao yakidigitali yakufidia vyombo vya utangazaji vya Australia kwa matumizi ya habari zao.
-
Kuelewa uhusiano wa kina wa Mataifa ya Kwanza na ardhi
10/12/2024 Duration: 08minArdhi ina umuhimu mkubwa wa kiroho kwa wa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait, iliyo unganishwa kwa ustadi na utambulisho wao, kuwa sehemu na hali yao ya maisha.
-
Taarifa ya Habari 10 Disemba 2024
10/12/2024 Duration: 16minWaziri wa Huduma za Serikali Bill Shorten ametangaza kuwa shirika la Services Australia, lime tekeleza karibu nusu ya mapendekezo yote kutoka Tume yakifalme kwa mfumo usio halali wa Robodebt.
-
Kiongozi wa Queensland atetea mabadiliko ya haki ya vijana yenye misimamo mikali
06/12/2024 Duration: 06minKiongozi wa Queensland na Mwanasheria Mkuu wame tetea mageuzi ya haki ya vijana yenye utata ya jimbo hilo, licha ya ukosoaji kutoka wadau na Umoja wa Mataifa.
-
Taarifa ya Habari 6 Disemba 2024
06/12/2024 Duration: 21minKura mpya ya maoni inadokeza kiongozi wa upinzani Peter Dutton, ana elekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu ujao.
-
Australia yabadilisha msimamo wa miaka 20 kwa uvamizi wa Israel katika maeneo ya Palestine
06/12/2024 Duration: 06minAustralia imebadilisha msimamo wayo kwa azimio la Umoja wa Mataifa, linalo taka Israel isitishe kukalia kwa mabavu maeneo ya wapalestina.
-
Mh JP Mwirigi "ili nchi ipate heshima yake, kuna miundombinu lazima ijenge"
03/12/2024 Duration: 13minMaamuzi ya utoaji wa kandarasi ya ukarabati ya baadhi ya miundombinu, yame iweka serikali ya Kenya chini ya shinikizo kubwa hivi karibuni.
-
Taarifa ya Habari 3 Disemba 2024
03/12/2024 Duration: 19minUmoja wa Mataifa ume ongeza sauti yake kwa wimbi la ukosoaji dhidi ya sheria mpya za Queensland, shirika hilo limesema sheria hiyo inaonesha "kupuuza kwa wazi" kwa hazi za watoto.
-
Kuelewa jinsi maduka ya dawa yanavyo fanya kazi Australia
03/12/2024 Duration: 16minNchini Australia, wafamasia hutoa dawa zilizo agizwa nama daktari pamoja na ushauri wa huduma ya afya, kuelimisha jumuiya kuhusu matumizi salama ya dawa na kuzuia ugonjwa.
-
Taarifa ya Habari 29 Novemba 2024
29/11/2024 Duration: 18minWaziri Mkuu amekataa kuweka wazi jinsi mamlaka yaku wafurusha watu katika nchi ya tatu yata tumiwa.
-
Hoja ya mamlaka yatishia mazungumzo yaku unda serikali ya mseto ya Sudan Kusini
29/11/2024 Duration: 07minMazungumzo ya kuunda serikali ya mseto Sudan Kusini, yame kwama baada ya pande husika kuto afikiana kuhusu jinsi wata wagawa mamlaka.
-
Taarifa ya Habari 26 Novemba 2024
26/11/2024 Duration: 15minMchumi mmoja amesema mpango wa usawa wa pamoja waku saidia kununua nyumba wa serikali, hauta leta tofauti kubwa katika soko la nyumba la Australia.
-
Nini hutokea unapo itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi
26/11/2024 Duration: 13minKila raia wa Australia ambaye yuko katika sajili ya kupiga kura, anaweza itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi, hatua inayo julikana pia kama wajibu wa baraza la waamuzi.
-
Mh JP Mwirigi "nili ota nina soma muswada bungeni"
19/11/2024 Duration: 27minMh John Paul Mwirigi ana nafasi yakipekee katika vitabu vya kumbukumbu ya bunge la Kenya.
-
Taarifa ya Habari 19 Novemba 2024
19/11/2024 Duration: 18minRipoti kuhusu mshikamano wakijamii imepata, kuna mitazamo michache chanya, kwa dini kote jimboni katika makundi yote makubwa ya imani.
-
Elewa sheria za chanjo za watoto nchini Australia
19/11/2024 Duration: 14minKuhakikisha mtoto wako anachanjwa humlinda, na inafaida kwa kila mtu wa karibu yake, wataalam wamesema.
-
Taarifa ya Habari 15 Novemba 2024
15/11/2024 Duration: 19minAustralia ime unga mkono azimio la Umoja wa Mataifa, lakutambua mamlaka yakudumu ya watu wa Palestina kwa mara ya kwanza katika miongo mbili.
-
Jinsi yakupata akaunti ya benki inayo kufaa
15/11/2024 Duration: 11minKama una kazi, unapokea mafao ya serikali au unataka lipa bili zako kwa urahisi, utahitaji akaunti ya benki. Unaweza hitaji hata zaidi ya akaunti moja.