Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Barua ya marekebisho ya katiba yawasilishwa Bungeni DRC
15/11/2024 Duration: 07minBunge la DRC limepokea barua ya kukagua muda wa muhula wa rais na mageuzi ya mahakama ya Kongo.
-
Taarifa ya Habari 12 Novemba 2024
12/11/2024 Duration: 16minWaziri Mkuu Anthony Albanese ametoa pongezi kwa mkongwe wa vita vya Vietnam Richard Norden, ambaye amepewa tuzo baada ya kufa ya ngazi ya juu zaidi ya jeshi la Australia ya Victoria Cross.
-
Dj Mozz "Nataka kipaji changu kinifikishe katika tamasha zakimataifa"
12/11/2024 Duration: 13minDj Mozz ni mmoja wa vijana, wenye jina kubwa katika sekta ya burudani nchini Australia.
-
Taarifa ya Habari 8 Novemba 2024
08/11/2024 Duration: 19minWaziri Mkuu Anthony Albanese ame sisitiza umuhimu wakutetea demokrasia katika hotuba yake, kwenye kongamano la wabunge wa jumuiya yamadola.
-
Harris au Trump? wamarekani watoa hukumu yao
05/11/2024 Duration: 09minTakwimu kutoka tume ya uchaguzi ya Marekani, zina onesha watu wengi zaidi wame piga kura mwaka huu 3wa 2024 kuliko katika chaguzi zingine katika historia ya nchi hiyo.
-
Taarifa ya Habari 5 Novemba 2024
05/11/2024 Duration: 19minWanaharakati wa Mataifa ya Kwanza wana muhamasisha Kiongozi wa Queensland David Crisafulli, abatilishe uamuzi wake wakufuta uchunguzi wakusema ukweli na uponyaji.
-
Matt "tunataka mifumo ya kupata huduma irahisishwe"
05/11/2024 Duration: 04minViongozi wa makundi mbalimbali yawa Kenya wanao ishi mjini Sydney, Australia wanajiandaa kukutana nawa bunge nama seneta kutoka Kenya.
-
Taarifa ya habari 4 Novemba 2024
04/11/2024 Duration: 07minChama cha Greens kina omba serikali ya shirikisho ilete mipango yake mbele yaku kata deni la wanafunzi kwa asilimia 20 kwa idadi yawa Australia milioni tatu, hatua ambayo itafuta zaidi ya deni ya wanafunzi yenye thamani ya dola bilioni 16.
-
Bw Prosper "uzoefu wetu wa ukimbizi hauja ondoa utu wetu"
03/11/2024 Duration: 12minAustralia ni nyumbani kwa ma milioni ya watu kutoka mazingira mbali mbali, walio wahi kuwa wakimbizi wakijumuishwa.
-
Taarifa ya Habari 1 Novemba 2024
01/11/2024 Duration: 17minSerikali imethibitisha kuwa inashikilia mafao ya Medicare ambayo hayaja daiwa yenye thamani yama milioni ya dola, kwa sababu wagonjwa hawajatoa taarifa zao za benki ili wapokee hela hizo.
-
Jinsi yakujenga nyumba yako nchini Australia
01/11/2024 Duration: 10minKujenga nyumba Australia ni ndoto ya wengi ila, hatua muhimu zakufanikisha hili ni gani?
-
Taarifa ya Habari 29 Oktoba 2024
29/10/2024 Duration: 19minFaini kwa watoa huduma wa NDIS wasio waaaminifu zita ongezeka kutoka $400,000 hadi zaidi ya $15 milioni, chini ya kanuni mpya zilizo zinduliwa na Bill Shorten jana Jumatatu 28 Oktoba 2024.
-
Ben & Chance "tangu tuanze kufanya kazi ya Mungu pamoja maisha yamezidi kuwa mazuri"
25/10/2024 Duration: 06minUmaarufu wa wasanii wa injili Ben & Chance, una endelea kuongezeka kila uchao nchini Rwanda na kimataifa.
-
Prof Chacha"nchi za Afrika zinastahili tambua jumuiya yaki mataifa hai ongelei tena maswala yao"
25/10/2024 Duration: 07minNchi kadhaa barani Afrika zina endelea kukabiliana na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
-
Taarifa ya Habari 25 Oktoba 2024
25/10/2024 Duration: 20minViongozi wa kanda ya Pasifiki wame ikosoa Australia katika mkutano wa viongozi wa jumuiya zama dola nchini Samoa, kwa kufeli kuchukua hatua ya ziada kwa mabadiliko ya hali ya hewa.
-
Michael" viongozi wetu wanaweza fanya kazi kwa kasi wakitaka"
23/10/2024 Duration: 17minSiasa ya Kenya imetikiswa kwa kura ya kihistoria ndani ya Seneti iliyo sababisha Naibu Rais Rigathi Gachagua kubanduliwa mamlakani.
-
Athari za Utalii wa Mataifa ya Kwanza
23/10/2024 Duration: 13minJe, unatafuta uzoefu wakusafiri nchini Australia wenye maana?
-
Taarifa ya Habari 22 Oktoba 2024
22/10/2024 Duration: 19minMfalme Charles na Malkia Camilla waanza sehemu ya mwisho, ya ziara yao mjini Sydney, katika sehemu ya ziara yakifalme.
-
Steve "Na amini naweza kuwa kiongozi bora"
22/10/2024 Duration: 12minWanafunzi wa chuo cha ECU mjini Perth wana ingia debeni kuwachagua viongozi wao wapya.
-
Taarifa ya Habari 18 Oktoba 2024
18/10/2024 Duration: 19minSerikali ya Shirikisho ya tetea takwimu zake za utoaji wa ajira milioni moja, wakati upinzani una sisitiza kuwa asilimia kubwa ya ajira hizo zime fadhiliwa na serikali ya shirikisho.