Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Taarifa ya Habari 9 Februari 2024
09/02/2024 Duration: 18minUchambuzi mpya wa shirika la Regional Australia Institute umepata kuwa bei za nyumba katika maeneo ya kanda, zina fika viwango vya juu nakukaribia bei katika soko za miji.
-
Ni mbinu ipi bora ya kutokomeza ukeketaji
09/02/2024 Duration: 11minMashirika mbali mbali yana endelea kuongeza juhudi kutokomeza ukeketaji, pamoja nakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.
-
Taarifa ya Habari 8 Februari 2024
09/02/2024 Duration: 06minWaziri Mkuu wa Papua New Guinea James Marape, ame hotubia bunge la Australia.
-
Saada afunguka kuhusu umuhimu wakutokomeza ukeketaji
06/02/2024 Duration: 10minFebruari 6 ni siku ya kimataifa ya kutokomeza ukeketaji, mashirika na mamlaka mbali mbali huandaa hafla zakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.
-
Taarifa ya Habari 6 Februari 2024
06/02/2024 Duration: 21minWaziri Mkuu amekosoa upinzani kwa kufeli kuwa na msimamo kwa pendekezo lake la awamu ya tatu ya makato ya kodi, wakati vikao vya bunge la shirikisho vina anza tena.
-
Wanaume wakaribishwa kuchangia chakula na kutafuta suluhu za changamoto zao
03/02/2024 Duration: 10minNi nadra kupata kundi linalo shughulikia maswala ambayo huwakabili wanaume nchini Australia.
-
Taarifa ya Habari 2 Februari 2024
02/02/2024 Duration: 18minAustralia itatuma wajumbe New Zealand kujadili uwezekano wa ushirika wakijeshi katika muungano wa AUKUS.
-
Idadi yawa Australia wanao kosa kuwaona ma GP yaongezeka kwa sababu ya gharama kubwa za miadi
02/02/2024 Duration: 06minWakati mfumo wa huduma ya afya kwa wote ya Australia Medicare ina sherehekea miaka 40, data mpya imeonesha kuwa wagonjwa wana endelea kuepuka kuwaona madaktari kwa sababu ya gharama kubwa za miadi.
-
Taarifa ya Habari 1 Februari 2024
02/02/2024 Duration: 06minWaziri mkuu ametupilia mbali pendekezo kuwa viwango vya juu vya makato ya kodi kwa wenye mapato ya chini, vita rejesha nyuma kupungua kwa viwango vya riba, nakusababisha hali ngumu kwa muda mrefu.
-
Jinsi yakuanza biashara yako ndogo Australia
02/02/2024 Duration: 12minKuanza biashara nchini Australia hutoa faida kadhaa.
-
Djay Daffy "ziara ya Australia imenipa fursa nyingi sana"
01/02/2024 Duration: 08minDjay Daffy ni mmoja wa wasanii ambao wame teka nakutawala sekta ya burudani nchini Kenya.
-
Taarifa ya Habari 30 Januari 2024
30/01/2024 Duration: 19minWa Australia wame hakikishiwa hapatakuwa mageuzi yatakayo fanywa kwa faida ya kodi ya mwekezaji wa nyumba, hii ni baada ya mageuzi ambayo yalikuwa hayajatarajiwa kwa awamu ya tatu ya makato ya kodi.
-
Je madini ya coltan yata ifaidi au kuigharimu Kenya
30/01/2024 Duration: 07minMadini ya Coltan yamegunduliwa katika kaunti sita nchini Kenya, uchimbaji wa madini hayo unatarajiwa kuanza hivi karibuni.
-
Taarifa ya Habari 29 Januari 2024
30/01/2024 Duration: 05minNew Zealand haija wafuata washirika wake kuzuia uwekezaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalo shutumiwa na Israel kwa kuhusika na mauaji ya Hamas ya 7 Oktoba 2023.
-
Jinsi yakuwa mtetezi wa waAustralia wa Kwanza
30/01/2024 Duration: 08minKuwa mshirika wa wa Australia wa Kwanza, kuna maana ya mtu anaye simama kidete na anaunga mkono maswala yenye umuhimu kwa jumuiya zawa Australia wa Kwanza.
-
Taarifa ya Habari 26 Januari 2024
26/01/2024 Duration: 18minMaelfu ya watu wame jumuika katika sherehe nchini kote zaku adhimisha siku kuu ya Australia. Makundi ya watu wengi yalijumuika katika fukwe ya Bondi mjini Sydney kwa ibada ya alfajiri pamoja na sherehe ya moshi, wakati mjini Melbourne watu wali hudhuria ibada ya alfajiri ya siku ya uvamizi.
-
Halmashauri za jiji 81 zafuta sherehe za viapo vya uraia katika siku kuu ya Australia
26/01/2024 Duration: 08minTakriban halmashauri za jiji 80 kote nchini Australia, zime amua kubadili tarehe ya sherehe za kila mwaka za viapo vya uraia kutoka Januari 26.
-
Djay Daffy aweka wazi sababu za kuacha chuo
24/01/2024 Duration: 15minSekta ya burudani nchini Kenya, ina endelea kushuhudia ujio wa vijana wenye vipaji vya kila aina.
-
Taarifa ya Habari 23 Januari 2024
23/01/2024 Duration: 24minKuna taarifa serikali ya shirikisho inazingatia uwezekano wakurekebisha mpango wake wa awamu ya tatu ya makato ya kodi, muswada huo utakapo wasilishwa mbele ya baraza la mawaziri hii leo.
-
How to become a First Nations advocate - Jinsi yakuwa Mtetezi wa waAustralia wa Kwanza
23/01/2024 Duration: 06minFirst Nations advocates help amplify the voices of Indigenous communities in Australia. Here are some aspects to consider related to advocacy and “allyship” with First Nations communities. - Watetezi wa waAustralia wa Kwanza husaidia kupaza sauti za jumuiya zawa Australia wa kwanza. Hapa kuna baadhi ya vitu vya kuzingatia kuhusiana na utetezi na “ushirika” na jumuiya zawa Australia wa Kwanza.