Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Taarifa ya Habari 24 Novemba 2023
24/11/2023 Duration: 19minWaziri Mkuu amesisitiza kuwa serikali yake inafanya iwezavyo kupunguza mfumuko wa bei, na kiongozi wa benki kuu ana amini inaendelea kutokea ndani.
-
Somalia yatengeza historia katika fainali ya kombe la Afrika Kusini Australia
24/11/2023 Duration: 06minTimu ya Somalia, imekuwa ikishiriki katika michuano ya kombe la Afrika la Kusini Australia bila mafanikio makubwa.
-
Yemba Fashion "nimezaliwa namapenzi yakuvaa vizuri, na tofauti na wengine"
23/11/2023 Duration: 13minWanaume wengi kutoka DR Congo wanajulikana kwa mavazi yao yanayo vutia.
-
Taarifa ya Habari 21 Novemba 2023
21/11/2023 Duration: 21minTakwimu mpya zina dokeza kuwa vijana nchini Australia wana punguza matumizi yao zaidi kuliko vikundi vingine, na wanapunguza pia matumizi kwa vitu muhimu.
-
Melbourne yapata kionjo cha Mwomboko
18/11/2023 Duration: 11minWakaaji wa mji wa Melbourne wanatazamia kushuhudia maonesho yakitamaduni ya miziki kutoka bara la Afrika kuanzia Ijumaa 17 Novemba hadi Jumapili 20 Novemba 2023.
-
Taarifa ya Habari 17 Novemba 2023
17/11/2023 Duration: 19minWaziri Mkuu Athony Albanese ashiriki katika mkutano wa APEC ambako mabadiliko ya hali ya hewa na nishati mbadala ni miongoni mwa mada za majadiliano.
-
Taarifa ya Habari 14 Novemba 2023
14/11/2023 Duration: 18minSerikali ya shirikisho imesema inapanga kufanya mfumo wa ustawi wa Australia kuwa waki "utu" zaidi, baada ya ripoti mhimu ya tume yakifalme kwa mfumo wa Robodebt kutolewa.
-
Sera ya KRA yazua utata ndani na nje ya nchi
14/11/2023 Duration: 18minShirika la Kenya Revenue Authority (KRA), lime tawala gumzo miongoni mwa wakenya kote duniani baada yakutangazia umma mchakato mpya wa utoaji wa ushuru nchini humo.
-
Taarifa ya Habari 7 Novemba 2023
07/11/2023 Duration: 21minSerikali ya Albanese inasema mahusiano na China, yako katika sehemu nzuri kuliko mwaka jana, wakati Waziri Mkuu Anthony Albanese ana endelea na ziara yake nchini humo.
-
Kupendwa nakuchukiwa kwa rangi na ukatili
07/11/2023 Duration: 07minMelbourne Cup ni moja ya matukio ya michezo maarufu ya kila mwaka nchini Australia.
-
Ni wakati gani unapaswa fikiria kuomba mkopo wakibinafsi
03/11/2023 Duration: 12minWakati kuna ongezeko la hitaji lakusimamia vizuri gharama zetu za maisha, kuna ongezeko ya idadi ya watu wanao rejea katika mfumo wa mikopo binafsi.
-
Taarifa ya Habari 3 Novemba 2023
03/11/2023 Duration: 20minWaziri Mkuu Anthony Albanese anajiandaa kusafiri kesho Jumamosi 4 Novemba, kuanza ziara ya siku nne nchini China, katika ziara ya kwanza yakidiplomasia ya kiongozi wa Australia katika taifa hilo la Asia tangu 2016.
-
Somalia yapita mtihani wao dhidi ya Jordan
02/11/2023 Duration: 05minTimu 32 zinashiriki katika michuano ya kombe la dunia, inayo andaliwa na shirika la African Australia Football Association mjini Sydney, NSW.
-
Sudan Kusini yapiga hatua ya kwanza kutetea kombe lao
02/11/2023 Duration: 04minTimu 32 zinashiriki katika michuano ya kombe la dunia, inayo andaliwa na shirika la African Australia Football Association mjini Sydney, NSW.
-
Taarifa ya Habari 31 Oktoba 2023
31/10/2023 Duration: 21minWaziri Bill Shorten amesema taarifa ya pamoja iliyo tiwa saini na mawaziri wakuu sita wa zamani wa Australia, kuhusu vita vya Gaza, kimsingi ina mulika msimamo wa serikali ya shirikisho.
-
Ongezeko za kodi zawafungia baadhi yawapangaji nje ya soko la nyumba za upangaji
31/10/2023 Duration: 08minWapangaji kote nchini wana onywa kuhusu hali ngumu inayo kuja, wakati utoaji mdogo wa nyumba unaongeza hela za kodi.
-
Mercy 'Tumekuja huku kupata ujuzi kisha tuurudishe nyumbani Kenya"
31/10/2023 Duration: 12minWakenya wanaendelea kuwasili nchini Australia kwa viza mbali mbali, baadhi yao wakija kama wahamiaji na wengine kama wanafunzi wakimataifa.
-
Taarifa ya Habari 27 Oktoba 2023
27/10/2023 Duration: 17minVita vya Israel na Hamas vimezua vita vya maneno kati ya chama cha Greens na serikali ya Labor pamoja na chama cha upinzani.
-
Wakenya wafunguka kuhusu umuhimu wa siku ya Mashujaa
26/10/2023 Duration: 13minWakenya wanao ishi mjini Sydney, NSW walijumuika katika bustani ya Australia Botanic Garden kwa maadhimisho ya siku ya Mashujaa.
-
Taarifa ya Habari 24 Oktoba 2023
24/10/2023 Duration: 19minWa Australia ambao wamekwama mjini Gaza, wamesema wameshauriwa mara kwa mara waende katika kivukio cha mpaka wa Rafah na Misri, hata hivyo walipofika huko walipata mpaka huo umefungwa.