Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Bajeti yashughulikia maswala muhimu kwa jumuiya zatamaduni nyingi ila maelezo ya ziada yana hitajika
17/05/2024 Duration: 11minJamii za wahamiaji na wakimbizi zimekaribisha mipango katika bajeti ya shirikisho ila, wame sema maelezo zaidi yanahitajika kuhusu mikakati iliyo lengwa kwa wanachama wa jumuiya.
-
Jinsi ya kuomba kazi
15/05/2024 Duration: 11minUnapo ona tangazo la kazi linalo kuvutia, kuelewa hatua zinazo fuata ni muhimu.
-
Namna yakupata leseni yakuendesha gari
15/05/2024 Duration: 12minKuendesha gari hutoa uhuru na huongeza fursa zakupata kazi ila, shughuli hiyo huja pia na wajibu mkubwa waku hakikisha usalama barabarani.
-
Taarifa ya Habari 14 Mei 2024
14/05/2024 Duration: 17minMweka hazina Jim Chalmers amesisitiza bajeti atakayo tangaza inahusu kuweka shinikizo yakupunguza mfumuko wa bei.
-
Watu saba wauawa kwa shambulizi la bomu Mkoani Kalehe DRC
14/05/2024 Duration: 09minHali ya usalama inaendelea kuwa mbaya Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Taarifa ya Habari 10 Mei 2024
10/05/2024 Duration: 18minMamia yawa fungwa wa uhamiaji wanaweza achiwa huru kutegemea na hukumu ya mahakama kuu, inayo tarajiwa kutolewa leo kwa changamoto yakisheria iliyo wasilishwa na muomba hifadhi kutoka Iran.
-
Uchunguzi wa Seneti waunga mkono mswada tata wa uhamisho
10/05/2024 Duration: 08minUchunguzi wa Seneti umependekeza serikali ipitishe mswado wake wenye utata, utakao fanya iwe rahisi kuwafukuza nchini walio ndani ya vizuizi vya uhamiaji.
-
Taarifa ya Habari 9 Mei 2024
09/05/2024 Duration: 06minSerikali ya Australia ita imarisha miradi ya gesi katika hatua yakutoa suluhu kwa ongezeko la mahitaji pamoja nakusaidia mchakato wakuhamia kwa uzalishaji sufuri kufikia 2050, hoja ambayo imefichua kuwa uchimbaji utaendelea zaidi ya tarehe hiyo.
-
Bunge la Kenya lapiga kura yakutokuwa na imani na waziri wa kilimo na mifugo
09/05/2024 Duration: 06minKamati maalum ya bunge la Kenya, imesikiza wasilisho la Mh Jack Wamboka ambaye anataka waziri wa kilimo na mifugo wa Kenya atimuliwe kazini.
-
Taarifa ya Habari 7 Mei 2024
07/05/2024 Duration: 20minSerikali imesema ita kuwa na akiba ya bilioni moja ya dola katika bajeti ya shirikisho ijayo, kwa kukata matumizi ya huduma ya umma ya wakandarasi, washauri na wafanyakazi wengine wa nje.
-
Understanding the profound connections First Nations have with the land - Kuelewa uhusiano wa kina wa Mataifa ya Kwanza na ardhi
06/05/2024 Duration: 09minThe land holds a profound spiritual significance for Aboriginal and Torres Strait Islander peoples, intricately intertwined with their identity, belonging, and way of life. - Ardhi ina umuhimu mkubwa wa kiroho kwa wa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait, iliyo unganishwa kwa ustadi na utambulisho wao, kuwa sehemu na hali yao ya maisha.
-
Charlie "Mashabiki wa Bien watarajie bonge la tamasha"
04/05/2024 Duration: 10minWakaaji wa Sydney wana jiandaa kuhudhuria moja ya tamasha kubwa ya mwaka wa 2024, inayo andaliwa na kampuni ya Beast from the East Entertainment.
-
Afrika Kusini ya adhimisha mwisho wa kumbukumbu ya apartheid wakati wa ongezeko ya kutoridhika nchini humo
03/05/2024 Duration: 06minAfrica Kusini ina adhimisha miaka 30 tangu uchaguzi wakwanza wayo waki demokrasia ambapo kila raia wa Afrika Kusini aliweza piga kura.
-
Taarifa ya Habari 3 Mei 2024
03/05/2024 Duration: 17minWaziri Mkuu Anthony Albanese amesema waendesha mashtaka wa shirikisho walifanya uamuzi mubaya kuruhusu dhamana kwa mfungwa wa uhamiaji, ambaye baadae anadaiwa kumshambulia bibi mmoja mjini Perth katika tukio la uvamizi wa nyumba.
-
MCA Tricky "Nili ingia katika ucheshi kujibamba"
03/05/2024 Duration: 08minMCA Tricky ni mmoja wa wacheshi maarufu nchini Kenya, kazi zake zina endelea kuwavutia mashabiki wengi.
-
Taarifa ya Habari 30 Aprili 2024
30/04/2024 Duration: 20minRipoti mpya kuhusu mauaji nchini Australia, imeonesha kuwa idadi ya wanawake ambao wame uawa na wapenzi wao wa sasa au wazamani, imeongezeka kwa asilimia 28 mwaka huu hadi Juni 2023.
-
Mafuriko yasababisha maafa makubwa Afrika Mashariki
30/04/2024 Duration: 07minZaidi ya watu 130,000 wame hamishwa na mafuriko nchini Kenya wakati idadi ya vifo ina endelea kuongezeka tena baada ya bwawa kuvunjika Jumatatu.
-
Taarifa ya Habari 29 April 2024
29/04/2024 Duration: 07minMratibu wa maandamano yakupinga unyanyasaji dhidi ya wanawake mjini Canberra, amesema waziri mkuu alidanganya kuhusu, kuto ruhusiwa kuzungumza katika tukio hilo.
-
Viongozi wadini, Waziri Mkuu waomba uwepo wa heshima na maelewano katika jamii
26/04/2024 Duration: 10minViongozi kutoka jumuiya za wayahudi, waislamu na wakristo mjini Sydney wame kemea kwa pamoja vurugu na maneno yakugawanya ambayo yame ibuka kufuatia matukio mawili ya shambulizi ya visu mjini Sydney.
-
Taarifa ya Habari 26 Aprili 2024
26/04/2024 Duration: 17minAliyekuwa mu Australia wa mwaka wa zamani Rosie Batty ame ihamasisha serikali ya New South Wales izingatie kuanzisha tume yakifalme kwa ukatili wa nyumbani.