Voa Express - Voice Of America

  • Author: Vários
  • Narrator: Vários
  • Publisher: Podcast
  • Duration: 9:59:22
  • More information

Informações:

Synopsis

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. 

Episodes

  • Wito watolewa kwa wazazi kutoiachia serikali mapambano na dawa za kulevya Tanzania - Januari 10, 2025

    10/01/2025 Duration: 29min

    Wito watolewa kwa wazazi kutoiachia serikali mapambano na dawa za kulevya Tanzania

  • Mmoja wa vijana wa DRC anaelezea maandamano yanayofanyika mashariki mwa nchi namna yanavyowaathiri vijana kiuchumi na kisiasa. - Januari 09, 2025

    09/01/2025 Duration: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Kenya na Burkinafaso zapewa nafasi kubwa kuchukua kombe la Mapinduzi - Januari 08, 2025

    08/01/2025 Duration: 29min

    Kenya na Burkinafaso zapewa nafasi kubwa kuchukua kombe la Mapinduzi

  • Matokeo ya mitihani ya kidato cha pili Tanzania watalaam watoa maoni yao - Januari 07, 2025

    07/01/2025 Duration: 29min

    Matokeo ya mitihani ya kidato cha pili Tanzania watalaam watoa maoni yao

  • VOA Express - Januari 06, 2025

    06/01/2025 Duration: 29min

    VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Mtaalamu wa masuala ya kielektroniki anaelezea iwapo matumizi ya vifaa hivyo kwa watoto na vijana yanawajenga au kubomoa? - Januari 03, 2025

    03/01/2025 Duration: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Mdau wa masuala ya utalii Zanzibar anaeleza namna Sauti za Busara na ZIFF zinavyowahamasisha vijana kwenye matamasha ya muziki na utamaduni - Januari 02, 2025

    02/01/2025 Duration: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • VOA Express - Januari 01, 2025

    01/01/2025 Duration: 29min

    VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Wakaazi wa Afrika mashariki wanaelezea changamoto za kimaisha zilizokuwepo mwaka 2024 ikijumuisha migogoro ya kisiasa na kiuchumi. - Desemba 31, 2024

    31/12/2024 Duration: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Mmoja wa wanawake kutoka Afrika mashariki Winnie Miseda anazungumzia mchango wa Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter barani Afrika. - Desemba 30, 2024

    30/12/2024 Duration: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Mdau wa masuala ya utalii kutoka Zanzibar, Edwin George anaelezea sekta hiyo ulivyoimarika na kufungua fursa za ajira kwa vijana. - Desemba 27, 2024

    27/12/2024 Duration: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Mmoja wa wazazi huko Tanzania anatoa maoni yake kufuatia tabia ya baadhi ya wazazi kuwaacha watoto peke yao majumbani au maeneo ya michezo. - Desemba 26, 2024

    26/12/2024 Duration: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Sherehe za krisimasi katika uchumi mgumu - Desemba 25, 2024

    25/12/2024 Duration: 29min

    VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.

  • Wakaazi katika eneo la Afrika mashariki wanaelezea maandalizi ya mkesha wa sikukuu ya Krismas - Desemba 24, 2024

    24/12/2024 Duration: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Wakaazi wa Afrika mashariki wanaelezea maandalizi ya sherehe za Krismas katika maeneo yao. - Desemba 23, 2024

    23/12/2024 Duration: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Mwanaharakati wa vijana Abdulkarim kutoka Kenya anaeleza umuhimu wa vijana kuhamasisha siku ya kimataifa ya mshikamano wa kibinadamu. - Desemba 20, 2024

    20/12/2024 Duration: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • VOA Express - Desemba 19, 2024

    19/12/2024 Duration: 29min

    VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Uganda yatishia kuwafukuza wasani wa kigeni wanaokiuka maadili ya nchi - Desemba 18, 2024

    18/12/2024 Duration: 29min
  • Shambulio jingine la risasi katika shule ya msingi ya binafsi nchini Marekani limesababisha vifo na majeruhi kadhaa. - Desemba 17, 2024

    17/12/2024 Duration: 29min

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

  • Mtaalamu wa afya Theophil Wangata anaelezea namna jamii inavyopaswa kuzingatia vyakula wanavyokula kila siku hususan wakati wa sikukuu. - Desemba 16, 2024

    16/12/2024 Duration: 29min