Synopsis
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
Episodes
-
Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili iliondaliwa na Ali Bilali
27/12/2024 Duration: 10minAmbatana na mshika usukani Ali Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili
-
Muziki iliyoombwa na waskilizaji msimu wa maadhimisho ya Jamhuri nchini Kenya
13/12/2024 Duration: 10min -
-
Pata burudani tosha kutoka kwa wanamuziki wa kike barani Afrika
19/07/2024 Duration: 10minKwenye makala haya tunakaribisha wikendi kwa miziki mbalimbali na leo wanamuziki wa kike wanatupambia makala.
-
Mziki wa kukata na shoka ndani ya rfi kiswahili Kila Ijumaa
28/06/2024 Duration: 15minKila Ijumaa ndani ya makala Muziki Ijumaa unapata nafasi ya kuskia miziki ya tabaka mbalimbali hasa ile ambayo umeitisha wewe mskilizaji. Juma hili Bwana Wakoli anakupakulia miziki iliovuma, inayovuma na ile itakayovuma, skiza makala haya kuelewa maana ya miziki ilioenda shule na kafuzu.
-
Burudani safi ya weekendi kupitia muziki ijumaa
07/06/2024 Duration: 10minMuziki wa kizazi kipya na vibao safi vya kikale katika kusindikiza mwisho wa juma baada ya pilika nyingi za maisha
-
Muziki Ijumaa
27/04/2024 Duration: 10minKatika kipindi hiki mtangazaji wa zamu anakuchezea kibao unachokipenda kwenye redio kila siku ya Ijumaa.
-
Kwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda
19/04/2024 Duration: 10minFlorence Kiwuwa amekuchezea ombi lako kwenye makala ya wiki hii ya muziki Ijumaa.
-
Muziki Ijumaa ,Burudani kabambe
26/01/2024 Duration: 10minKwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda.
-
Miziki bora juma hili ndani ya Muziki Ijumaa na Florence Kiwuwa
22/12/2023 Duration: 10minKila Ijumaa unapata nafasi ya kuburundika ndani ya makala haya kwa kuomba muziki unaopenda.
-
Burudani ya Muziki na Jupiter Mayaka
18/11/2023 Duration: 10minMuziki hutoa hamasisho, elimu, burudani, husaidia kukumbuka mambo na pia huondoa msongo na kuboresha afya.
-
-
BURUDANI YA MUZIKI IJUMAA
15/09/2023 Duration: 10minWiki hii Florence Kiwuwa amekuchezea muziki uliomuomba akucheze kwenye redio
-
Muziki Ijumaa ,makala yanayokutumbuiza
11/09/2023 Duration: 10minKaribu kwenye Makala ya Muziki Ijuma. Unaweza kusikiza ombi lako la muziki hapa.
-
Burudani ya Muziki
25/08/2023 Duration: 10minWiki hii upo nae Florence Kiwuwa amekuchezea muziki bora zaidi katika juhudi za kuipamba wikendi yako.
-
Burudani ya muziki Ijumma, tunacheza ombi lako la muziki
18/08/2023 Duration: 09minKatika Makala haya ya burudani huwa tunakupa nafasi wewe msikilizaji wetu kuchagua wimbo nasi tunakuchezea moja kwa moja kwenye redio kila siku ya Ijumma
-
Muziki Ijumaa
15/08/2023 Duration: 10minKwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda.
-
Sikiliza Burudani ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali
22/07/2023 Duration: 09minJuma hili Ali Bilali yupo kwenye usukani kukuletea Makala Muziki Ijumaa.
-
Muziki Ijumaa makala ya burudani tosha
18/07/2023 Duration: 10minJupiter Mayaka amekuandalia burudani ya kukata na shoka, ikiwa ni siku ya Kiswahili duniani akikuhimiza kuwa lugha hii adhimu itukuzwe.
-
Burudani ya muziki
15/07/2023 Duration: 10minWiki hii Florence Kiwuwa amekuchezea muziki uliomuomba akucheze kwenye redio