Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Taarifa ya Habari 28 Juni 2024
28/06/2024 Duration: 17minVyama vya wafanyakazi wanaunga mkono haki ya wabunge wa chama cha Labor kuvuka sakafu na kupiga kura dhidi ya msimamo wa chama, wakisema hatua hiyo ina imarisha vuguvugu la Labor.
-
Indigenous art: Connection to Country and a window to the past - Sanaa ya watu wa Asili: Muunganisho wa Nchi na dirisha kwa siku za nyuma
27/06/2024 Duration: 09minEmbracing their oral traditions, Aboriginal and Torres Strait Islander peoples have used art as a medium to pass down their cultural stories, spiritual beliefs, and essential knowledge of the land. - Kukumbatia mila zao zaku simulia hadhithi, watu waki Aboriginal na wanavisia wa Torres Strait wame tumia sanaa kama mbinu yaku changia hadithi za utamaduni wao, imani za kiroho na maarifa muhimu ya ardhi.
-
Taarifa ya Habari 27 Juni 2024
27/06/2024 Duration: 06minMbunge wa chama cha Liberal Simon Birmingham amesema amefurahi kuona masaibu yakisheria ya Julian Assange yame isha ila, ilikuwa makosa kwa waziri mkuu kumpigia simu Bw Assange akimkaribisha nyumbani.
-
Makena "Viongozi wetu wajifunze kwa yaliyo fanyika Sri Lanka"
25/06/2024 Duration: 19minMaandamano dhidi ya muswada wa fedha wa 2024 nchini Kenya hatimae yamefika Australia.
-
Taarifa ya habari 25 Juni 2024
25/06/2024 Duration: 19minBaadhi ya wabunge huru wanataka makaazi yawekwe kuwa haki ya msingi ya binadamu nchini Australia.
-
Wahitimu wamatibabu wakimataifa wa elezea kero za sifa zao kutambuliwa Australia
25/06/2024 Duration: 09minTakwimu mpya zina onesha ongezeko kwa idadi yama daktari, wauguzi na wataalamu wa afya wanao fanya kazi katika mifumo ya huduma ya afya nchini Australia.
-
Taarifa ya Habari 21 Juni 2024
21/06/2024 Duration: 19minAustralia ime ahidi kuendelea kuwasaidia wakaaji wa Papua New Guinea ambao wanapitia wakati mgumu kumudu maisha baada ya kukabiliwa kwa maporomoko mabaya ya ardhi mnamo Mei.
-
Taarifa ya Habari 20 Juni 2024
20/06/2024 Duration: 07minMwanaume mmoja amefikishwa mahakani leo kwa sababu ya dai la tisho la bomu lililo funga sehemu za mji wa Melbourne jana Jumatano mchana.
-
Patrick 'nimuhimu kwa wakimbizi kuja Australia wakiwa na leseni yakuendesha gari'
20/06/2024 Duration: 17minMaadhimisho ya wiki yawakimbizi yalifanyika kote nchini Australia.
-
Taarifa ya Habari 18 Juni 2024
18/06/2024 Duration: 17minWaziri mkuu wa China Li Qiang ameondoka Canberra baada ya siku yakihistoria ya mazungumzo yakidiplomasia ndani ya bunge la taifa.
-
Haki zangu zakidini zina lindwaje kazini?
18/06/2024 Duration: 13minNchini Australia, sheria dhidi ya ubaguzi katika sehemu za kazi kwa misingi yakidini hutofautiana katika mamlaka zote.
-
Taarifa ya Habari 17 Juni 2024
18/06/2024 Duration: 05minWaziri wa kwanza wa China Li Qiang amekaribishwa ndani ya bunge la taifa, hiyo ikiwa ni ziara ya kwanza ya waziri wa kwanza wa China katika muda wa miaka 7.
-
Wafanyakazi wapato la chini kuongezewa mishahara kuanzia Julai 1
18/06/2024 Duration: 08minMa milioni yawa Australia watapata nyongeza ya asilimia 3.75 kwa mshahara wao.
-
Taarifa ya Habari 14 Juni 2024
14/06/2024 Duration: 21minMaelfu ya wahamiaji waliokuwa wakitarajia kujisajili katika vyuo vya Australia, hawata weza tena kuomba viza wanazo hitaji.
-
Uhaba wa fedha wakwamisha shughuli za taasisi za Jumuiya ya Afrika Mashariki
14/06/2024 Duration: 06minTaasisi kadhaa za Jumuiya ya Afrika Mashariki, zimejipata katika hali ngumu baada ya bajeti zao kuathirika sana.
-
Iyanii "fahari yangu imekuwa kubadilisha maisha ya wazazi wangu"
13/06/2024 Duration: 15minIyanii ni msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Kenya, anaye zidi kuwa maarufu kila kukicha.
-
Taarifa ya Habari 11 Juni 2024
11/06/2024 Duration: 18minSerikali ya Queensland inapanga kuwa na hatua zakupunguza shinikizo ya gharama ya maisha licha yakutarajia nakisi ya bajeti.
-
Baby blues au unyogovu wa uzazi? Jinsi yaku jisaidia pamoja na mpendwa wako
11/06/2024 Duration: 13minKama wewe ni mzazi mtarajiwa au mzazi mpya, huenda umesikia neno hili la kiingereza 'baby blues'. Maana yake ni hisia za uzoefu wa changamoto zaki hisia ambazo wanawake wanne kati ya watano hupata baada ya kujifungua.
-
Taarifa ya Habari 10 Juni 2024
11/06/2024 Duration: 06minUpinzani wa shirikisho umesema una nia yakutekeleza Makubaliano ya Paris ila, uta futa malengo ya mazingira ya Australia yanayo ifunga kisheria.
-
Taarifa ya Habari 7 Juni 2024
07/06/2024 Duration: 20minWaziri wa serikali ya shirikisho Bill Shorten amesema hawezi sema kama chama cha Labor kita weka chama cha Greens mwisho, katika kadi zao za maelezo ya jinsi yakupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao kwa sababu ya msimamo wa chama cha Greens kwa mgogoro wa Gaza.