Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Richard Tuta "Nchi inapokumbwa na migogoro, maendeleo husahaulika"
22/08/2023 Duration: 07minNchi nyingi barani Afrika zina endelea kukabiliana na changamoto za migogoro na uhaba wa maendeleo kila uchao.
-
Kudhibiti ugonjwa wa vituo vya malezi ya watoto: Vidokezo kwa wahamiaji wapya na wazazi wa mara ya kwanza
22/08/2023 Duration: 09minKuanza kupeleka mtoto katika huduma ya malezi ya watoto mapema, inaweza kuwa suluhisho la vitendo kwa kusawazisha matarajio ya kazi na wajibu wa uzazi.
-
Taarifa ya Habari 20 Agosti 2023
20/08/2023 Duration: 18minWaziri Mkuu Anthony Albanese amesema sifa ya Australia duniani, ime imarika serikali inapo wekeza katika ulinzi pamoja na mahusiano yakimkakati.
-
Mchakato wa urithi ni upi nchini Australia
20/08/2023 Duration: 10minTofauti na nchi zingine, wa Australia huwa hawalipi kodi ya urithi kwa mali wanazo rithi.
-
Styve Derrick "tuna fursa za kazi ila tunakosa wafanyakazi Sweden"
17/08/2023 Duration: 10minMakampuni na biashara nyingi duniani zina, endelea kukabiliana na changamoto yakuwapata wafanyakazi.
-
Justin "Covid ilisaidia watu wengi kujitambulisha katika jamii yawakenya Victoria"
17/08/2023 Duration: 11minNi kawaida kwa wahamiaji na watu walio wasili Australia kama wakimbizi, kujiunga na vikundi vya jumuiya za asili yao.
-
Taarifa ya Habari 15 Agosti 2023
15/08/2023 Duration: 15minTakwimu mpya kutoka ofisi ya takwimu ya Australia, inaonesha kuwa mishahara imeongezeka sambamba na mfumuko wa bei katika robo ya Juni.
-
Ndahiro "kama haumudu sarafu yako hauna uhuru"
15/08/2023 Duration: 07minMapinduzi ya kijeshi nchini Niger yamezua hali ya wasiwasi, miongoni mwa nchi jirani katika eneo la Sahel.
-
Taarifa ya Habari 14 Agosti 2023
15/08/2023 Duration: 06minWazazi wa mwomba hifadhi kutoka Iran aliye uawa wakati wa mgomo katika kisiwa cha Manus mnamo 2014, wamefikia suluhu ya siri na serikali ya shirikisho pamoja na kampuni ya ulinzi ya G4S.
-
Voice Referendum: What is it and why is Australia having one? - Kura ya Maoni ya Voice: Ni nini na ni kwa nini tunaifanya?
09/08/2023 Duration: 11minAustralians will vote in the Indigenous Voice to Parliament referendum on October 14. Here’s what you need to know about the process, including why it’s taking place, and the information that communities can expect to help guide their decisions at the polls. - Je wajua kwamba wa Aboriginal na wana visiwa wa Torres Strait hawa tambuliwi ndani ya katiba ya Australia?
-
Taarifa ya Habari 8 Agosti 2023
08/08/2023 Duration: 17minSerikali ya New South Wales inawekeza $5.8 milioni kwa utoaji wa makaazi ya wanawake na watoto kote jimboni NSW wanao kimbia unyanyasaji na vurugu ya nyumbani.
-
Dkt Annefrida "Spika Ackson ameshindwa kusimamia demokrasia ndani ya bunge"
08/08/2023 Duration: 10minShirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limeitolea mwito serikali ya Tanzania kuacha kuwakandamiza wakosoaji wake baada ya mamlaka za nchi hiyo kuwakamata watu wanaopinga mkataba wa uendeshaji bandari.
-
Taarifa ya Habari 7 Agosti 2023
07/08/2023 Duration: 08minSerikali itawasilisha hatua mpya zaku imarisha sheria za kodi, kwa ajili yaku zuia kashfa kama uvujaji wa kampuni ya PriceWaterhouse Coopers.
-
Taarifa ya Habari 6 Agosti 2023
06/08/2023 Duration: 16minWana harakati wa kampeni ya Ndio wametupilia mbali matokeo ya hivi karibuni ya kura ya maoni, yanayo dokeza uungwaji mkono wa the Voice unapungua.
-
Umuhimu wakuwa na marafiki kutoka tamaduni mbali mbali
06/08/2023 Duration: 11minKupata marafiki ni moja ya changamoto kubwa huwa tunakabili katika nchi mpya.
-
Taarifa ya Habari 29 Julai 2023
05/08/2023 Duration: 07minJuhudi zakutafuta nakuokoa zina endelea kwa wanahewa wanne walio kuwa ndani ya helikopta ya jeshi la ulinzi la Australia, lililo anguka ndani ya bahari karibu ya kisiwa cha Hamilton usiku wakuamkia leo.
-
Martin" Urusi haijali maslahi yawa Afrika"
05/08/2023 Duration: 07minKati ya 27-28 Julai, Rais Putin wa Urusi alikuwa mwenyeji wa kongamano la Urusi na mataifa ya Afrika mjini St Petersburg.
-
Taarifa ya Habari 1 Agosti 2023
01/08/2023 Duration: 16minWaziri Mkuu Anthony Albanese amejibu shtuma za waziri mkuu wa zamani Scott Morrison, kwa kumshtumu kwa kutokuwa na huruma kwa waathiriwa wa mfumo wa Robodebt.
-
Vikao vya Bunge ya Shirikisho vya anza tena baada ya mapumziko ya majira ya baridi
01/08/2023 Duration: 10minVikao vya bunge la shirikisho vime anza tena baada ya likizo ya mwezi mzima, kwa kiongozi wa upinzani Peter Dutton na waziri mkuu wa zamani Scott Morrison kuzungumzia shutma zilizo tolewa wakati wa likizo kuhusu mienendo yao ya awali.
-
Taarifa ya Habari 30 Julai 2023
30/07/2023 Duration: 15minMuswada wa nyongeza ya malipo ya Jobseeker, unatarajiwa kuwasilishwa bungeni vikao vitakapo anza tena kesho Jumatatu 31 Julai 2023.