Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Author: Vários
  • Narrator: Vários
  • Publisher: Podcast
  • Duration: 108:15:29
  • More information

Informações:

Synopsis

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episodes

  • The importance of understanding cultural diversity among Indigenous peoples - Umuhimu wa kuelewa tofauti zakitamaduni miogoni mwa wa Australia wa kwanza

    22/03/2024 Duration: 09min

    Understanding the diversity within the First Nations of Australia is crucial when engaging with Aboriginal and Torres Strait Islander peoples and building meaningful relationships. - Kuelewa utofauti ndani ya jumuiya yawa Australia wa Kwanza ni muhimu unapo jihusisha nawa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait pamoja nakujenga mahusiano yenye maana.

  • Taarifa ya Habari 19 Machi 2024

    19/03/2024 Duration: 18min

    Serikali ya Albanese imesema itapinga kuachiwa huru kwa zaidi ya watu 100 ambao wako ndani ya kizuizi cha uhamiaji, katika kesi nyingine muhimu itakayo fikishwa mbele ya mahakama kuu.

  • Wasiwasi wachukua nafasi ya zawadi za Pasaka kwa famiia zinazo pitia wakati mgumu

    19/03/2024 Duration: 08min

    Wakati wa Australia wengi wana jiandaa kwa likizo ndefu ya Pasaka, mashirika yamisaada ya chakula nayo yana jiandaa kwa muda wa shughuli nyingi zaidi ya mwaka.

  • Taarifa ya Habari 18 Machi 2024

    18/03/2024 Duration: 06min

    Vizuizi vya uhamiaji vinatarajiwa kutawala siasa za Australia wiki hii wakati serikali ina jiandaa kukabiliana na kesi nyingine ndani ya mahakama kuu, ambako watu wingine 100 wanaweza achiwa huru.

  • Taarifa ya Habari 15 Machi 2024

    15/03/2024 Duration: 16min

    Mamlaka jimboni Victoria wame zindua uchunguzi kwa mgodi ulio bomoka mjini Ballarat naku uwa mwanaume mmoja pamoja nakumuacha mwingine akipigania maisha yake.

  • Umuhimu wa kuelewa tofauti zakitamaduni miogoni mwa wa Australia wa kwanza

    15/03/2024 Duration: 12min

    Utofauti tajiri ndani ya umma wa waAustralia wa kwanza ni kipengele cha kuvutia, kupinga dhana potofu ya kawaida kuwa watu wote ambao niwa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait wote wako sawa.

  • Taarifa ya Habari 14 Machi 2024

    14/03/2024 Duration: 05min

    Polisi wame pata mwii wa mwanaume aliye fariki ndani ya mgodi ulio bomoka Ballarat, katika kanda ya Victoria.

  • Rahab"Serikali imesikia nakuchukulia hatua kilio chetu kuhusu utapeli"

    12/03/2024 Duration: 10min

    Viongozi wa makampuni na biashara kutoka Kenya wame tua mjini Melbourne kushiriki katika kongamano la biashara.

  • Taarifa ya Habari 12 Machi 2024

    12/03/2024 Duration: 20min

    Serikali imesema imetupilia mbali kutumia ushuru kuwekeza mfumo wa malezi ya wazee, baada yakutolewa kwa ripoti ya nguvu kazi katika sekta hiyo.

  • Ramadan na Eid ni nini na husherehekewaje Australia

    12/03/2024 Duration: 11min

    Australia ni nchi yenye tamaduni nyingi na ina idadi kubwa yawa Islamu wengi.

  • Taarifa ya Habari 11 Machi 2024

    11/03/2024 Duration: 04min

    Polisi wamesema juhudi zakumtafuta mvulana wa miaka 12 katika eneo la magharibi Sydney, zimefika katika hatua muhimu wasiwasi kuhusu ustawi wake ukiendelea kuongezeka.

  • Kotnyin afunguka kuhusu siku ya kimataifa ya wanawake

    08/03/2024 Duration: 08min

    Serikali ya shirikisho imetoa ripoti yake ya pili ya mwaka kwa hali ya wanawake.

  • Taarifa ya Habari 8 Machi 2024

    08/03/2024 Duration: 18min

    Serikali ya shirikisho imetoa ripoti yake ya pili ya mwaka kwa hali ya Wanawake, ripoti hiyo inaonesha pengo la malipo ya jinsia iko katika kiwango cha chini kwa asilimia 12 ila tofauti zingine kubwa zimesalia.

  • Kukabiliana na habari potofu: jinsi yakutambua na kukabiliana na habari za uongo

    08/03/2024 Duration: 13min

    Katika zama ambapo habari husafiri kwa kasi ya mwanga, kutofautisha ukweli kwa uongo imekuwa changamoto kubwa.

  • Wanyika afunguka kuhusu maandalizi ya tamasha ya Angélique Kidjo katika Sydney Opera House

    06/03/2024 Duration: 10min

    Gwiji wa Muziki kutoka Benin Bi Angélique Kidjo ana tarajiwa kuwa na tamasha kubwa ndani ya Sydney Opera House usiku wa Jumatano 6 Machi 2024.

  • Taarifa ya Habari 5 Machi 2024

    05/03/2024 Duration: 17min

    Anthony Albanese anatarajiwa kuweka wazi sera mpya zakupiga jeki ushiriki wa biashara za Australia, katika ukanda wa Kusini mashariki Asia, kongamano la ASEAN linapo anza leo mjini Jumanne Machi 5 mjini Melbourne.

  • Wito watolewa katika wiki yakitaifa ya uelewa zaidi wa ugonjwa wa vifaa vyakusafirisha damu ndani ya moyo

    05/03/2024 Duration: 09min

    Wiki ya tarehe 26 Feb hadi 3 Machi, ni wiki yakutoa uelewa wa ugonjwa wa moyo na kifaa kinacho tumiwa kusafirisha hewa au damu moyoni.

  • Taarifa ya Habari 4 Machi 2024

    04/03/2024 Duration: 07min

    Waziri mkuu Anthony Albanese amesema uchaguzi mdogo wa Dunkley umethibitisha kuwa wa Australia hawa vutiwi na kampeni hasi.

  • Taarifa ya Habari 1 Machi 2024

    01/03/2024 Duration: 18min

    Shirika la ujasusi la Australia limetetea uamuzi wayo wakuto weka wazi jina la mwanasiasa wa zamani ambaye ame husishwa na kundi la ujasusi lakigeni.

  • Tanzania yaomboleza kifo cha Hayati Mwinyi

    01/03/2024 Duration: 07min

    Viongozi mbali mbali nchini Tanzania, wana endelea kutoma salamu za kwa jamaa na familia ya Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, aliyefariki dunia Alhamisi wiki hii.

page 11 from 26