Habari Za Un
Mkutano wa CSW69 yang’oa nanga leo ikiwaleta pamoja washiriki zaidi ya 25,000
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:03:07
- More information
Informações:
Synopsis
Hii leo katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani unaanza mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake duniani, CSW69, kusanyiko kubwa zaidi la kila mwaka la Umoja wa Mataifa linalomulika usawa wa jinsia na uwezeshaji wanawake mwaka huu washiriki wakiwa zaidi ya 25,000. Selina Jeroboni na taarifa zaidi.