Habari Za Un

Ninataka kuwa dereva kama Fatuma Mfumia wa UNICEF nchini Tanzania

Informações:

Synopsis

Fatuma Mfumia ndiye dereva pekee wa kike katika shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF Tanzania. Fatuma ndiye tunayemwangazia leo. Video iliyorekodiwa na UNICEF Tanzania inamwonesha akiwa kwenye usukani, na hakika hapo utakubali anavyojiamini. Anold Kayanda na simulizi zaidi.