Habari Za Un
Katibu Mkuu azindua Mpango wa kuchechemua utendaji wa shirika
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:02:02
- More information
Informações:
Synopsis
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amezindua Mpango mpya wa UN80, unaolenga kuimarisha kazi na ufanisi wa chombo hicho ambacho mwaka huu kinatimiza miaka 80 tangu kuanzishwa kwake huku akisisitiza umuhimu wa mshikamano wa kimataifa. Assumpta Massoi na maelezo zaidi.