Habari Za Un
Uhamishaji watu kwa lazima kutoka kutoka ardhi inayokaliwa sio sahihi - OHCHR
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:01:23
- More information
Informações:
Synopsis
Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa,(OHCHR) imesisitiza haja ya kusonga mbele kuelekea awamu inayofuata ya usitishaji mapigano huko Gaza, kuachiliwa kwa mateka na wafungwa wote waliokamatwa kiholela, kukomesha vita na kujenga upya Gaza, kwa kuheshimu kikamilifu sheria ya kimataifa ya kibinadamu na sheria za kimataifa za haki za binadamu.