Habari Za Un
UNAIDS: Marekani yatangaza kurejesha ufadhili dhidi ya VVU
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:02:08
- More information
Informações:
Synopsis
Baada ya Serikali ya Marekani kutoa tangazo jipya sasa kwamba itaendelea kufadhili huduma zinazolenga vita dhidi ya Virusi vya Ukimwi (VVU), shirika la Umoja wa Mataifa la kukabiliana na VVU na Ukimwi (UNAIDS) limeeleza kuupokea uamuzi huo kwa furaha na kuuita wa kuokoa maisha. Selina Jerobon na maelezo zaidi.