Voa Express - Voice Of America
Vijana wa Afrika mashariki wanaelezea matarajio yao kwa utawala mpya wa Rais mteule wa Marekani Donald Trump ambaye anaapishwa leo Jumatatu. - Januari 20, 2025
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:29:59
- More information
Informações:
Synopsis
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.