Habari Za Un

03 JANUARI 2025

Informações:

Synopsis

Vifo vitokanavyo na baridi Gaza vinazuilika, usitishaji mapigano na misaada ndio jawabu: UN.Tuhuma za uchawi dhidi ya wanawake Papua New Guinea zapatiwa  ‘muarobaini’ na UNDP.Makala ni kuhusu Gibson Kawago, mwanzilishi wa kampuni ya WAGA akizungumzia kuanzisha vifaa vya kuchaji magari ya umeme Tanzania.Mashinani ni IFAD Zimbabwe.