Habari Za Un
Mzazi wa Mahmooud: Mwanangu amepata kilema cha maisha sababu ya vita isiyokoma Gaza
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:02:00
- More information
Informações:
Synopsis
Baada ya miezi 14 ya vita Gaza maelfu ya watu wakiwemo watoto wamesalia na ulemavu wa maisha kwa kulazimika kukatwa viungo kutokana na kujeruhiwa katika vita inayoendelea kwa miezi 15 akiwemo mtoto wa umri wa miaka 7 Mahmmoud ambaye sasa amepooza baada ya kupigwa risasi mgongoni na anahitaji huduma za haraka za afya ili akatibiwe limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA. Taarifa ya Thelma Mwadzaya inafafanua zaidi