Habari Za Un

08 JANUARI 2025

Informações:

Synopsis

Zaidi ya watoto 70 wameuawa Gaza tangu Januari 1 huku gharama za maisha zikizidi kupanda.Mafunzo ya ufundi bomba kuniwezesha kutunza familia yangu – Msichana Bangladesh.Mradi wa UNICEF wa kuunganisha taarifa na kusajili watoto wanufaisha jamii Burundi.Mashinani nchini Tanzania kuhusu haki za watoto