Voa Express - Voice Of America

Mmoja wa wanawake kutoka Afrika mashariki Winnie Miseda anazungumzia mchango wa Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter barani Afrika. - Desemba 30, 2024

Informações:

Synopsis

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.