Voa Express - Voice Of America

Wakaazi wa Afrika mashariki wanaelezea changamoto za kimaisha zilizokuwepo mwaka 2024 ikijumuisha migogoro ya kisiasa na kiuchumi. - Desemba 31, 2024

Informações:

Synopsis

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.