Voa Express - Voice Of America

Uganda yatishia kuwafukuza wasani wa kigeni wanaokiuka maadili ya nchi - Desemba 18, 2024

Informações:

Synopsis

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.