Synopsis
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
Episodes
-
Afrika yaendelea kuathirika kufuatia hatua ya Marekani kusitisha misaada
21/07/2025 Duration: 10minNchini Zimbabwe wataalam wanasema wagonjwa wa Malaria wanaongezeka kwa kasi tangu Marekani kupitia shirika lake la USAID kukatisha misaada yake kwa nchi hiyo na bara la Afrika
-
Kenya yaondoa ulazima wa viza kwa mataifa ya Afrika isipokuwa Somalia na Libya
18/07/2025 Duration: 10min -
-
Marais wa Afrika kusalia madarakani kwa muda mrefu hata umri ukiwa umeenda
15/07/2025 Duration: 09min