Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

  • Author: Vários
  • Narrator: Vários
  • Publisher: Podcast
  • Duration: 4:00:05
  • More information

Informações:

Synopsis

Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.

Episodes

  • Mabadiliko ya tabianchi yahatarisha barafu ya milimani, barafu hii ikiyeyuka kwa kasi

    31/03/2025 Duration: 10min

    Kutokana na mabadiliko ya tabianchi, kwa mujibu wa shirika la hali ya hewa duniani WMO, barafu inayopatikana kwenye milima inayeyuka kwa kasi zaidi na ndio sababu ya umoja wamataifa kutenga Machi 21 kama siku ya kimataifa ya kutoa hamasisho kuhusu kuyeyuka kwa barafu hii.

  • Juhudi zinazofanywa na wadau kufadhili wakulima wadogo barani Afrika

    28/03/2025 Duration: 10min

    Wakulima wadogo wanachangia kwa zaidi ya asilimia 70 uzalishaji wa chakula barani Afrika, hii ni kwa mujibu wa Benki ya Maendeleo barani, Afdb, wakati uo huo, lengo nambari mbili  ya maendeleo endelevu ikinuia kumaliza njaa na kuihakikishia dunia usalama wa chakula kufikia mwaka wa 2030

  • Raundi ya tatu ya mataifa kuwasilisha ahadi zao za kitaifa, NDCs za kukabili mabadiliko ya tabianchi

    17/03/2025 Duration: 10min
  • Siku ya wanayampori: Jinsi binadamu hutegemea rasilimali za wanyamapori na bayoanuwai.

    11/03/2025 Duration: 10min

    Binadamu hutegemea rasilimali za wanyamapori na bayoanuwai ili kukidhi mahitaji yao. Tunahitaji chakula, mafuta, makazi, na hata mavazi. Hivyo ni jukumu la kila mmoja kuhakikisha kwamba mifumo ikolojia inaweza kustawi na mimea na wanyama wanaweza kuwepo kwa ajili ya vizazi vijavyo. Machi 3 mwaka huu, ilikuwa ni fursa ya kutoa uhamasisho wa umuhimu wa  wanyama na mimea pori, ili kuongeza ufahamu wa faida zao, na haja ya  kuongeza mapambano ya uhalifu dhidi ya wanyamapori na kusababisha athari kubwa za kiuchumi, mazingira na kijamii.Skiliza ufahamu mengi zaidi.

page 2 from 2