Afrika Ya Mashariki
Je una ufahamu juu ya ulinzi wa taarifa binafsi ?
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:09:59
- More information
Informações:
Synopsis
Kasi ya ugunduzi na uvumbuzi katika maswala ya sayansi na teknolojia na ujio wa Internet sanjali na matumzi ya mitandao ya kijamii yanafanya wajamii kuwa katika hatari kumbwa kupoteza usiri wa taarifa zao. Baada ya mabadiliko makubwa ya teknolojia yamesababisha taarifa za watu kuwa ni moja ya mtaji mkubwa kwa watu wengine na makampuni makubwa Tanzania kama yalivyo mataifa mengine ya Afrika mashariki imekutunga sheria rasmi ya kulinda haki kulindiwa taarifa binafsiLakini sio kulinda tu taarifa binafsi lakini pia kuhakikisha taarifa hizo zinamfaidisha moja Kwa moja mlengwa wa taarifa endapo zinatakiwa kutumiwa Kwa matumizi fulani. Msikilizaji wa RFI Kiswahili karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwama kuangaza na kumulika kwa namna gani wakazi wa Afrika mashariki wanauelewa juu ya ulinzi wa taarifa binafsi sanjali na juhudi za mataifa katika kulinda maswala hayo Mwandalizi na msimulizi wako naitwa Martin Nyoni nasema karibu tuwe hadi tamati