Siha Njema

Hali halisi ya Malaria barani Afrika wakati huu ufadhili ukiendelea kushuka

Informações:

Synopsis

Serikali za Afrika zitalazimika kuchangia ufadhili wa mipango ya kupambana na Malaria kufidia pengo kubwa la ufadhili Muungano wa viongozi wa Afrika wa kupambana na Malaria ,Africa  Leaders Malaria Alliance unasema Afrika inahitaji dola bilioni 5 nukta nane mwaka huu wa kifedha hadi 2026.Hali hii pia imechangiwa na  Marekani kukata ufadhili wa misaada kwa nchi za kigeni