Jua Haki Zako

Kenya : Mahakama ya madai madogo madogo

Informações:

Synopsis

Wakenya wameshauriwa kutochukua hatua mikononi iwapo wana mzozo wa malipo baina yao na watu wanaowadai. Hii ni baada ya maafisa wanahudumu mahakamani, mawakili na asasi za kijamii kufanya mkutano wa kueneza uwepo Wa mahakama hizo nchini Kenya huku wakiwahimiza raia kutumia korti hiyo ambayo inatatua kesi chini ya miezi miwili.  Kufahamu mengi zaidi skiza makala haya.