Habari Rfi-ki

Kenya : Rais Ruto na mpinzani Raila Odinga kushirikiana

Informações:

Synopsis

Mwishoni mwa juma  lililopita rais wa Kenya William Ruto na kiongozi wa upinzani Raila Odinga walitiliana saini mkataba wa ushirikiano wa kisiasa, wanaosema utasaidia kutatua changamoto  zinazowakabili raia wa taifa hilo.  Unaamini makubaliano ya viongozi hawa ni sahihi?Ndilo swali tumekuuliza na haya hapa maoni yako.