Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Rais Donald Trump na Volodymyr Zelensky watofautiana kuhusu vita nchini Ukraine
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:19:59
- More information
Informações:
Synopsis
Wiki hii kwenye habari za ulimwengu tunaangalia majibizano makali kati ya rais wa Marekani Donald Trump na mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky katika Ikulu ya White House, pia tunaangalia mikakati inayowekwa kumaliza mgogoro wa DRC huku Rwanda ikisema haitishwi kutengwa na ulimwengu, Somalia na Ethiopia zarejesha uhusiano wa kidiplomasia, mkutano wa G20 ukikamilika kule Afrika Kusini bila mwafaka kufikiwa.