Wimbi La Siasa

Hatima ya mzozo wa Sudan baada ya RSF kusaini mkataba wa kuunda serikali mbadala

Informações:

Synopsis

Wajumbe wa kisiasa kutoka kundi la RSF linaloongozwa na Jenerali Mohamed Hamdan Dagalo linalopigana na wanajeshi wa Sudan, walikutana jijini Nairobi na kutia saini mkataba wa uundwaji wa serikali mbadala kwenye maeneo wanayodhibiti. Nini hatima ya mzozo wa Sudan ?