Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mapigano mashariki mwa DRC, ziara ya rais Ruto nchini Angola na mengineyo
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:20:12
- More information
Informações:
Synopsis
Makala hii imeangazia mapigano eneo la mashariki mwa DRC, mvutano wa kisiasa nchini Kenya pamoja na hali ya Sudan, kauli ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kwamba mataifa ya Afrika hayana shukrani katika kuyataka majeshi ya Ufaransa kuondoka kwenye ardhi zao na mazishi ya aliyekuwa rais wa 39 wa Marekani Jimmy Carter wiki hii