Jioni - Voice Of America
Kimbunga Chido kimesababisha vifo vya watu 73 nchini Msumbiji, imesema Taasisi ya Kitaifa ya Usimamizi wa Hatari na Maafa huko Msumbiji - Desemba 19, 2024
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:29:59
- More information
Informações:
Synopsis
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.