Sbs Swahili - Sbs Swahili

Taarifa ya Habari 16 Julai 2023

Informações:

Synopsis

Mweka hazina wa taifa Jim Chalmers ame ondoka nchini usiku wa leo aki elekea nchini India, ambako atawakilisha Australia katika mikutano ya G-20 mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu mjini Gandhinagar.