Sbs Swahili - Sbs Swahili

Taarifa ya Habari 31 Mei 2024

Informações:

Synopsis

Donald Trump amekuwa rais wa kwanza wa zamani wa Marekani kupatwa na hatai ya uhalifu, baada ya jopo la mahakama la wajumbe 12 mjini New York kumpata na hatia ya udanganyifu wa hati ili kuficha malipo ya kumnyamazisha nyota wa ponografia kabla ya uchaguzi mkuu wa 2016.