Jioni - Voice Of America

Mjadala wa Live Talk kuhusu kupatikana na hatia kwa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, mbele ya jopo la mahakama ya New York - Mei 31, 2024

Informações:

Synopsis

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.