Jioni - Voice Of America

Hali ya uhuru wa waandishi na vyombo vya habari Afrika Mashariki - Mei 03, 2024

Informações:

Synopsis

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.