Jioni - Voice Of America

Mataifa ya Afrika mashariki yameamua kushirikiana katika ujenzi wa reli ya mwendo kasi SGR ili kuimarisha uchumi na uchukuzi wa nchi hizo. - Mei 06, 2024

Informações:

Synopsis

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.