Jioni - Voice Of America

Wachunguzi wa Ukraine wanasema walizima mpango wa mawakala wa Russia wa kumuua Rais Volodymyr Zelenskyy. - Mei 07, 2024

Informações:

Synopsis

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.