Jioni - Voice Of America

Umoja wa Ulaya kimsingi umeridhia makubaliano ambayo yatatumia mapato kutoka kwa mali za Russia zilizozuiwa kusambaza silaha kwa Ukraine. - Mei 09, 2024

Informações:

Synopsis

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.